|
- Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeweka ajenda ya Katiba katika ilayani yake ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030, kikisema kuwa kinaamini kuwa misingi imara ya utawala bora, demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria ni muhimu katika kuhakikisha Taifa linaendelea kuwa na amani na utulivu kama msingi mama wa shughuli za maendeleo
- Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums
Lakini vilevile tulipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 kwa kipindi cha miaka minne- mpaka mwaka jana uliofanywa na serikali zetu mbili, tulifanya marekebisho madogo ya katiba ya CCM ya mwaka 1977 na likawa toleo la 2025 na kumchagua Makamu Mwenyekiti wa CCM bara
- Pre GE2025 - DSM - Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM . . . - JamiiForums
Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025 Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1 2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri
- TANZIA - Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Masasi, Edwin . . .
Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi kubwa kwa familia, jamii na viongozi wa CCM
- CCM Yawazuia Wanachama Wake Kuvaa Sare za Chama Katika Mkutano wa . . .
Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa
- Pre GE2025 - Prof. Kitila: Ilani ya CCM ya 2025 30 ni . . . - JamiiForums
Aidha, CCM inakubaliana na maudhui ya msingi ya Rasimu ya Dira 2050 Hivyo basi, Ilani hii ni nyenzo ya CCM ya kuanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Ndugu Mwenyekiti: Nieleze kidogo kuhusu mchakato wa kuandaa Ilani hii Sehemu kubwa ya maudhui ya Ilani hii yametokana na maoni ya wanachama wa CCM, wananchi na wadau mbalimbali
- Siri imefichuka CCM walipanga njama kuifuta CHADEMA ili watengeneze . . .
Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa kila jambo haijalishi ni jema au ovu, zuri au baya
- Pre GE2025 - DSM - Ujumbe kutoka kwa Tundu Lissu: Jaji . . . - JamiiForums
"Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No
|
|
|