|
- Pre GE2025 - Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa . . . - JamiiForums
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Makao hayo makuu mapya, ambayo
- Pre GE2025 - DSM - Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM . . . - JamiiForums
Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025 Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1 2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri
- Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeweka ajenda ya Katiba katika ilayani yake ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030, kikisema kuwa kinaamini kuwa misingi imara ya utawala bora, demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria ni muhimu katika kuhakikisha Taifa linaendelea kuwa na amani na utulivu kama msingi mama wa shughuli za maendeleo
- Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums
Lakini vilevile tulipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 kwa kipindi cha miaka minne- mpaka mwaka jana uliofanywa na serikali zetu mbili, tulifanya marekebisho madogo ya katiba ya CCM ya mwaka 1977 na likawa toleo la 2025 na kumchagua Makamu Mwenyekiti wa CCM bara
- Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM . . .
Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM
- CCM Ni Dude Moja Kubwa Sana Ambalo Mtu na genge lako Huwezi Kushindana . . .
CCM ni dude ambalo waliojaribu kupambana nalo au kulihujumu au kushindana nalo au kulitikisa au kudhamiria kulidhoofisha waliishia Kufedheheka na kujuta sana Maishani Mwao kwa sababu hawakuweza kufanikiwa zaidi ya kupata aibu tu CCM ni dude ambalo lina mizizi iliyotambaa na kuenea kila sehemu na kila mahali
- CCM yazindua Roboti kwenye Mkutano wake Dodoma
Ni mkutano maalum wa Ccm Taifa, lilikua kivutio kwa watu kutokana na kila mtu kutaka kupigana naye picha, View attachment 3350436 wasanii mbalimbali waliweza kusogea karibu yake na kupiga naye picha chakushangaza zaidi Roboti naye aliwachangamkia wageni
- Pre GE2025 - Prof. Kitila: Ilani ya CCM ya 2025 30 ni . . . - JamiiForums
Aidha, CCM inakubaliana na maudhui ya msingi ya Rasimu ya Dira 2050 Hivyo basi, Ilani hii ni nyenzo ya CCM ya kuanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Ndugu Mwenyekiti: Nieleze kidogo kuhusu mchakato wa kuandaa Ilani hii Sehemu kubwa ya maudhui ya Ilani hii yametokana na maoni ya wanachama wa CCM, wananchi na wadau mbalimbali
|
|
|